Saturday, January 22, 2011

LADY GAGA KUZINDUA SINGO MPYA PARIS

 Lady Gaga

 Lady Gaga
Mwanadada mtukutu katika miondoko ya Hip hop Lady Gagaanatarajia kuzindua singo yake mpya katika jiji la Paris wakati wa maonuesho maalum ya mavazi yake ambayo ameyazindua hivi karibuni.

Gaga ametonya kuwa kazi anayotarajia kuiachia inaitwa 'This way' iliyo katika mchanganyiko wa hip hop na ragga na kuwataka washabiki wake kukaa mkao wa kuipokea vizuri ngoma hiyo.

Mwanadada amesema kuwa nia yake ni kuwavutia mashabiki wake na pia siku hiyo ataizindua rasmi filamu yake mpya ambayo imetengenezwa na muandaaji Nicolas Formiichetti...     UMETISHA IRON LADY.... we stay turned kuipokea hiyo ngoma

 Lady Gaga
 
 Umemuonaaa......
 Ametishaaaaa......