Monday, February 7, 2011

IZZO BIZZNESS ANAFANYA MOVIE NA JACKLINE WOLPER

 IZZO B NA MWANADADA JACKLINE WOLPER
Msanii wa kizazi kipya Izzo Bizzines ameamua kujitupia na yeye kwenye upande wa filamu za kibongo ambapo filamu hiyo anayoigiza ni ya mwanadada Jackline Walper na humo ndani ya movie hiyo hamed nae ameshirikishwa msikilize Izzo mwenyewe akielezea kwenye Kipindi cha XXL cha CLOUDS FM alipokuwa akizungumza kwenye segment ya You Heard na Sudi Brown.