Tuesday, February 8, 2011

SHE IS NOW SELECTED AS A ''QUEEN OF SHAROBALO GOVERNMENT''

 Malkia wa masharobalo Lady jaydee

Jana rais wa masharobalo Tanzania Bob Junior alimtangaza rasmi mwanadada LADY JAYDEE kuwa malkia wa masharobalo nchini.

Bob junior a.k.a mzee wa OYOYO alisema wameamua kumtangaza Jide kama malkia wao kutokana na mwanadada huyo kukamilika vigezo vyote vya kuwa malkia wao hivyo kuanzia sasa atatambulika kama malkia wa masharobalo Tanzania.

Aidha Rais huyo alisema kuwa kwa kuthamini mchango wa mwanadada lady jaydee katika muziki na kukubali ombi lao la kuwa malkia wao wamemtayarishia wimbo ngoma inayokwenda kwa jina la WANGU ambayo mwanadada atairekodoa kwa mara ya kwanza katika studio za SHAROBALO RECORDS chini ya Rais mwenyewe Bob juniour.

Queen of Sharobalo

Juhudi Daima 'JD'