Tuesday, January 18, 2011

UNAMFAHAMU TWIGA ZISOME SIFA ZAKE

1:Ni mnyama mpole kuliko wote mwituni
2:Hali nyama
3:Halali chali kama wanyama wengine
4:Anakunywa maji kwa mwezi mara moja au mara mbili
5:Hapendi vumbi

6:Anashika nafasi ya nne kwa wanyama wenye uwezo wa kukimbia
7:Ni mnyama mwenye kuishi na wanyama wengi pamoja kuliko wanyama wengine.
 Twiga