![]() |
| LOGO YA KILI MUSIC AWARDS 2011 |
![]() |
| Wakuu wa TBL wakipongezana katika uzinduzi huo uliofanyika katika hotel ya Double Tree Hilton |
![]() |
| Mkurugenzi wa TBL David Minja akizungumza katika uzinduzi huo jana usiku |
![]() |
| Mzigo aliusimamia Captaiiiin Gardner G Habash kama mwendesha shughuli 'MC' |
![]() |
| Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marlow akitumbuiza katika uzinduzi huo |
![]() |
| AY akiwa na washkaji zake kwenye wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo |
![]() |
| Hapa Temba kule Chegge katkati mdau |
![]() |
| Luiza nyoni Mbutu mwanamuziki wa Afrikan Stars akiwawakilisha wenzake jukwaani katika uzinduzi huo |
![]() |
| WADAU WAKIFUATILIA UZINDUZI |
![]() |
| Anti Ezekiel akiwa na wadau wengine wa Bongo movies wakifuatilia kwa makini uzinduzi |
![]() |
| Mmmh hapa sitii neno i hope unajua kinachoendelea banaaaaaaaa |










