Wednesday, January 26, 2011

HAPPY B'DAY MY BROTHER MIRAD AYO

 Mirad ayo
Ni moja kati ya radio presenters wanaofanya kazi nzuri sana kwa sasa hapa Bongo akiruka na bonge la program jipya lililojizolea umaarufu kwa muda mfupi AMPLIFAYA kupitia the people station 'Clouds fm' kila siku za jumatatu mpaka ijumaa saa 1 mpaka 3usiku.

Huyu ndio Mirad Ayo ambaye leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka kadhaa tangu alipozaliwa katika jiji la Arusha mwaka 1986.

Mirad alitua ndani ya mjengo wa The people station akitokea Radio one /ITV na kabla ya hapo alishawahi kupitia katika media kadhaa kama Zanzibar TV na Wapo Radio FM.
Ebwanaeee Happy b'day bro kila la heri.

 Mirad Ayo akiwa mzigoni Clouds fm