Monday, January 24, 2011

JAY Z, RICK ROSS WAIFAGILIA FREEMASONS

 Mojawapo ya Logo inayotumiwa na wafuasi wa FREEMASONS
Mkali wa HIP HOP nchini Marekani Jay Z kwa kushirikiana na mkali mwingine Rick Ross wamerekodi ngoma mpya inayokwenda kwa jina la FREEMASONS humondani akijinadi kuwsa anaipenda dini hiyo na kamwe hatajari maneno ya watu wanaomkashifu kuwa mafanikio yake yanatokana na imani yake kwa dini hiyo .


 Jay z akiwa na Rick Ross kwenye uzinduzi wa ngoma hiyo.



 Kava la ngoma hiyo.
 
 "Sisi waumini halali bwana"



 

 HOLLAA