Thursday, February 3, 2011

MARIAH CAREY, NICK CANON WATEGEMEA KUPATA WATOTO MAPACHA

' Wife 'n' Husband' Mariah Carey na Nick Canon
Na nadhani hakuna asiejua kuhusiana na mwanadadiva Mariah Carey kua ana uja uzito wa na Nick Cannon sasa ni kwamba wapenzi hao wametangaza kua wanategemea kupata watoto mapacha tena mtoto wa kiume na wakike kitu ambacho walikua wanatamani siku zote kitokee

 Mariah Carey akitumbuiza akiwa mjamzito


 Mama wawili mtarajiwa ;'Mariah Carey'