Wednesday, January 19, 2011

NICKI MINAJ AWATULIZA WANAUME WAKWEREEEE

Mwanadashosti mahili katika muziki wa kufokafoka Nicki minaj amewaambia wanaume wanaojaribu kumtaka kimapenzi watulize mpira kwa sasa kwani anachoangalia sasa ni kumake more money.

Mwana dada huyo mwenye bonge la mvuto alitoa kali hiyo iliyowanyong'onyesha vijamaa kibaoooo alipokuwa akizungumza wakati wa kutambulisha kava jipya la album yake katika hotel ya piecemind jijini washington DC.


Bi shost amewachana live kuwa kwa sasa hafikirii kuwa karibu na mpenzi ila anachoangalia ni kupika kazi zaidi ni zikubalike zaidi kwa washabiki wake, madada wa kibongo na nyie je?mmejipangaje banaaaaaaaaaa.............

 Nicki Minaj

Nicki Minaj kwenye bonge la poziiiiiiii