Friday, January 28, 2011

MIKE TYSON APATA MTOTO

 Mike 'iron' Tyson
Bondia mkongwe wa uzito wa juu duniani Mike Tyson na mkewe Lakhia Spicer juzi walifanikiwa kupata mtoto wa kiume aliyezaliwa akiwa na uzito wa kilo 4.

Mtoto huyu mpya wa bondia huyu maarufu aliyetamba miaka ya nyuma amekuja wakati ambao ni mwaka mmoja tangu Tyson alipofiwa na mwanae wa kike katika ajari mbaya ya gari

Huyu anakua ni mtoto wa nane katika familia ya Mwanamasumbwi huyu ambaye kwa sasa dizaini kama amefulia kidogo hivi katika tasnioa hiyo akiwaachia vijana watambe.


 Mike Tyson akiwac na mkewe Lakhia Spicer kabla ya kujifungua