Friday, January 14, 2011

weekend njema

Wadau kama tunavyofahamu kua weekend ndiyo hiyooooooo imetimia na tunafahamu kuwa ndani a siku mbili za weekend kuna kuwa na mambo mengi,starehe na burudani vinashika hatamu na ndani ya burudani kuna kadhia na uzia hivyo wadau tunapofanya starehe lazima tuwe makini sana tusije tukapitiliza weekend ikageuka maumivu. nawatakia mapumziko mema ya mwisho wa wiki na kwa wale madereva kumbuka dont drinjk and drive.sawaaaaaaaaaaaaaa