Monday, January 17, 2011

UNCLE JJ YAONGOZA KWA MAUZO

Filamu ya uncle jj ya msanii nyota steven kanumba imetajwa kuwa moja wapo ya filamu zinazofanya vizuri kwa sasa sokoni hapa bongo na nje ya bongo.

Kwa mujibu ya taarifa kutoka kwa wakala wa usambazaji wa filamu hiyo steps entertainment zinatonya kuwa filamu hiyo kwa sasa inapapatikiwa kama njugu mpaka kufikia hatua ya kumaliza mzigo wa awali na kuagiza mzigo mpya.

kila la heri kanumba endelea kupika vitamu zaidi.wasap the great