Nguli wa hip hop nchini Marekani 50 cent amezindua rasmi head phone zake zenye thamani ya dola za kimarekani, USD500000 sawa na shilingi za kitanzania milioni 750.
Jamaa amekamilisha mzigo huo ikiwa ni siku chache tu tangu nguli mwingine wa muziki huo Jay z kuzindua aina nyingine ya headphone zenye thamani ya shilingi za kibongo mil 500.
![]() |
Rapa 50 cent |