Thursday, January 20, 2011

CHEGGE LIVE IN CAPETOWN

Kwa mara ya nyingine tena muziki wa kizazi kipya unaendelea kupiga hatua moja mbele baada ya mtoto wa mama said chegge chibunda kuibuka na bonge la zari la kwenda kupafomme live ndani ya jiji la cape town nchini Afrika kusini

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chegge mwenyewe zinasema kuwa tamashahilo limeandaliwa na kampuni maarufu ya burudani nchini humo ya sister Nice Entertainment
linatarajiwa kufanyika tarehe 29/01/2011 na chegge anatarajiwa kuvuna zaidi ya shilingi za kitanzania milioni 30.  duuuuuh umetisha chibunda habari yako banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 Chegge