![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEienIpqG9daKWQ0Lt0zhe1fS4w3Wlr_ZJqLRmgAp5Pwd7YxsO6Y1NideDTfjb7gjij5GyIw3SNFhqcwXzcA0sD4yxz1QRE22RwVz_l2T-1RNMB38zDDSywYtMdbLv__Az9947FS_7SAvvkj/s320/ladddy+gg.jpg) |
LADY GAGA
Dizaini kama kisu kimezama tumboni hivi duuuh |
Ki design kama siku baada ya siku wanadada lady gaga anazidi kuongeza vituko vya kuwashangaza watu kwa matukio anayoyafanya….sasa hii ni kali eti wanadada huyo kwasasa anafatilia mchongo wake wa kutengeneza perfume yake mpya ambayo itakua inanukia harufu ya damu ya binadamu na sha**wa za mwanaume …….Perfume hiyo inategemewa kutoka mwaka ujao 2012