![]() |
Mirad ayo |
Huyu ndio Mirad Ayo ambaye leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka kadhaa tangu alipozaliwa katika jiji la Arusha mwaka 1986.
Mirad alitua ndani ya mjengo wa The people station akitokea Radio one /ITV na kabla ya hapo alishawahi kupitia katika media kadhaa kama Zanzibar TV na Wapo Radio FM.
Ebwanaeee Happy b'day bro kila la heri.
![]() |
Mirad Ayo akiwa mzigoni Clouds fm |