![]() |
LOGO YA KILI MUSIC AWARDS 2011 |
![]() |
Wakuu wa TBL wakipongezana katika uzinduzi huo uliofanyika katika hotel ya Double Tree Hilton |
![]() |
Mkurugenzi wa TBL David Minja akizungumza katika uzinduzi huo jana usiku |
![]() |
Mzigo aliusimamia Captaiiiin Gardner G Habash kama mwendesha shughuli 'MC' |
![]() |
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Marlow akitumbuiza katika uzinduzi huo |
![]() |
AY akiwa na washkaji zake kwenye wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo |
![]() |
Hapa Temba kule Chegge katkati mdau |
![]() |
Luiza nyoni Mbutu mwanamuziki wa Afrikan Stars akiwawakilisha wenzake jukwaani katika uzinduzi huo |
![]() |
WADAU WAKIFUATILIA UZINDUZI |
![]() |
Anti Ezekiel akiwa na wadau wengine wa Bongo movies wakifuatilia kwa makini uzinduzi |
![]() |
Mmmh hapa sitii neno i hope unajua kinachoendelea banaaaaaaaa |