Diamond alitoa topaso hilo alipokuwa akibonga na blog hii alipotembelea studio za clouds fm kwenye kipindi cha XXL leo.
Mchizi anasema tangu alipotua jijini lagos kuhudhuria tunzo za mtv music awards mtu aliyemvutia zaidi alikuwa ni fally kwa jinsi mchizi alivyo na swaga za kipekee
"unajua muda wote nilipokuwa kwenye tunzo za MAMA nilikuwa napenda sana kuwa karibu na fally jamaa yupo juu sana hata maongezi yake yanaonyeshabado anahamu ya mafanikio zaidi ya aliyonayo"alisema Diamond Hamna noma m2 wangu kama una nia utaweza banaaaaaaaa point ya msingi kaza buuuuuutiiiii
![]() |
Diamond akiwa Fally ipupa kwenye tunzo za mama mwaka jana. |
![]() |
Diamond aka 'The Platinum' |