Mwana dada huyo mwenye bonge la mvuto alitoa kali hiyo iliyowanyong'onyesha vijamaa kibaoooo alipokuwa akizungumza wakati wa kutambulisha kava jipya la album yake katika hotel ya piecemind jijini washington DC.
Bi shost amewachana live kuwa kwa sasa hafikirii kuwa karibu na mpenzi ila anachoangalia ni kupika kazi zaidi ni zikubalike zaidi kwa washabiki wake, madada wa kibongo na nyie je?mmejipangaje banaaaaaaaaaa.............
![]() |
Nicki Minaj |
![]() |
Nicki Minaj kwenye bonge la poziiiiiiii |