Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chegge mwenyewe zinasema kuwa tamashahilo limeandaliwa na kampuni maarufu ya burudani nchini humo ya sister Nice Entertainment
linatarajiwa kufanyika tarehe 29/01/2011 na chegge anatarajiwa kuvuna zaidi ya shilingi za kitanzania milioni 30. duuuuuh umetisha chibunda habari yako banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
![]() |
Chegge |