Kampuni ya multichoice Afrika imezindua awamu ya sita ya shindano la Big Brother Afrika ambapo milango ya washiriki kuomba kushiriki imefunguliwa.
Akizungumzia hilo meneja uhusiano wa miltichoice Barbara Kambogi amesema anakaribisha watanzania ambao wanataka kushiriki shindano hilo na kuomba watu watumie vizuri nafasi hiyo
Akizungumzia hilo meneja uhusiano wa miltichoice Barbara Kambogi amesema anakaribisha watanzania ambao wanataka kushiriki shindano hilo na kuomba watu watumie vizuri nafasi hiyo
.
Mshindi wa Big Brother msimu huu ataondoka na kitita cha dala 200,000 huku likitarajiwa kushirikisha washiriki 14 kutoka nchi 14 ambazo ni Tanzania,Ethiopia,Ghana,Kenya,Angola,Botswana Malawi,Uganda,Nigeria,Msumbiji,Zambia,Zimbabwe na Afrika kusini. Haya kazi kwenu Wabongo msijesema hamkuambiwa![]() |
Mwisho Mwampamba mshiriki wa TZ katika BBA mwaka jana. |
![]() |
Tatiana mshiriki wa Angola mwaka jana |
![]() |
Richard mshindi wa BBA 2007 |