![]() |
Elizabeth Gupta akiwa na mumewe mtarajiwa Kelvin Chuwang ambaye ni mshindi wa BBA Revolution 2009 siku ya send off yao. |
Wapenzi hao wanaotarajiwa kufunga ndoa wakati wowote Nigeria walivamiwa siku ya siku ya jumatano usiku wa manane nyumbani kwao jijini lagos
Habari kutoka lagosi zinapasha kuwa majambazi hao waliwapora vito mbalimbali vya thamani ikiwa ni pamoja na kompyuta aina ya laptop,kamera,simu selula na vingine vingi kisha kutokomea
I meelezwa kuwa kelvin na Eliza walikuwa kwenye mipango ya kuhama toka lagos kwenda Abuja na siku wanaporwa walikuwa tayari wameshafunga mizigo yao kwa ajiri ya kuhama.
Sherehe ya kumuaga Eliza (send off) ilifanyika januari 2 mwaka huu katika ukumbi wa Diam
ond jubilee na kuhudhuliwa watu mbalimbali wakiwemo wakwe zake toka Nigeria.POLE SANA DADA ETU LIZ
![]() |
Elizabeth Gup |