![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPVXtLPH6c2_F-Hl092MdOPhA-8aNBQ_jSW4D9bMG8MGVuWKQYnhPz7V8lcy_7NQ1nNB73bLgnp6oEj1Yz1ECS2t59XpuhB9aR65w2R0tw_pKw1E_py0-iR80TdSvzi9r5fML1rqQ2P9Pw/s400/BONGO.jpg) |
Driver wa kipindi kipya ndani ya CLOUDS TV Caesar Danier
|
Baada ya raia kumsubili kwa muda mrefu sana hatimaye kijana Caesar Daniel leo anafanya lounching ya kipindi chake kipya kabisa ndani ya COUDS TV paleeeeeepaleee 'mjengoni' kuanzia saa moja na nusu jioni wadau tumpokee jamaa kwani amejipanga mbayaaaaa habari yake banaaaaaaaaaaaaaaaa.