![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFmcyC03NFkHGTNmT-Eh9CK8VXawo49IqDW5gPZ6IxVkpwDyZoVqEr0YF9qXXfV1A4Q1ZyJbvMFHabh0PCY4JqahfhUbjiiNv_fxmoTZtIujvvCqfAzxdidOTDxYSslxyINrs-Y2HknD54/s400/ROONEY.jpg) |
Wayne Rooney akishangilia baada ya kufunga bao la pili dhidi ya Aston Villa jana. |
Manchester United imezidi kujikita kileleni mwa ligi kuu ya soka nchini uingereza baada ya jana kuifunga Asto Villa 3-1 katika dimba la Old Trafford.
Wayne Rooney alizinduka toka kwenye usingizi mzito na kutupia mbili nyavuni kabla ya Luis Nani kokandamiza la tatu na kuihakikishia man u ushindi mnono wa na pointi tano juu ya wanaowafuata Arsenal.
Katika mechi nyingine za hapo jana Arsenal iliwanyanyasa Everton kwa kuishindilia mabao 2-1 huku Chelsea ikiwa na Fernando Torres wakiichabanga bila huruma Sunderland 4-2.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcr-DU1gclqJG74g2C8b8zAB6xtbob7QbPh3H45SOrh9GsOclQDsAlJUBmwPmFAjRC8ujyW5YaNrnerMADL03dGps-6leIqnRauUEULU_YQC7WN14hH6Cmf0Tonz_-devEnfp831G0EgiY/s400/CLICHY.jpg) |
Daren Clichy akichuana na Coullen wa Evarton jana. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdl039Sx_gjNmb7mmGxFCxcI1t_8f5irHMueleVsUkaiZ2RS6rPWLBwD1MYeH9_mBrPTjOud4i9d0WCtIqyHpnO0zPnDesJc6UYJm_mXnqPTGRmGfCGozu1omze_jLHdW5cjDtG0eZ-A9r/s400/LAMPARD.jpg) |
Frank Lampard akiifungia CHELSEA bao la pili dhidi ya Sunderland jana. |