Monday, January 31, 2011

NICKI MINAJ, DRAKE WAFUNGA NDOA KIDEONI


 Nick Minaj na Drake
 Drake na Nick Minaj wamefunga ndoa Kupitia video ya ngoma inayoitwa moment for life ambayo mwana dada Nick Minaj kamshirikisha Drake… Humo ndani Nick anakwambia kuwa yeye anaamini kuwa maisha ni zawadi na kuishi haimaanishi kuwa upo hai… Ukicheki hii video unaweza ukahisi kama vile wameigiza story flani hivi ya Cinderela wakiwa kwenye mjengo wa Cash Money…. Hii Video ni Xclusive.. So cheki uwe wa kwanza kuwaona Drake na Nick Minaj waki-kiss….







 Baada ya ndoa



 Honeymoon