![]() |
Mike 'iron' Tyson |
Mtoto huyu mpya wa bondia huyu maarufu aliyetamba miaka ya nyuma amekuja wakati ambao ni mwaka mmoja tangu Tyson alipofiwa na mwanae wa kike katika ajari mbaya ya gari
Huyu anakua ni mtoto wa nane katika familia ya Mwanamasumbwi huyu ambaye kwa sasa dizaini kama amefulia kidogo hivi katika tasnioa hiyo akiwaachia vijana watambe.
![]() |
Mike Tyson akiwac na mkewe Lakhia Spicer kabla ya kujifungua |