![]() |
'SIMBA DUME'Mfalme SULEIMAN MSINDI a.k.aAfande Selle |
Ni kama miujiza hivi but ukweli unabaki kuwa palepale kuwa huyu ndio mwenye kofia ya UFALME WA RHYMES Tanzania mpaka sasa hivi majuzi alijikuta akisaula jukwaani bila aibu,sasa sijui ndio tuseme ni swagga za 2011 au ndio swagga za mfalme a.k.a SIMBA DUME....Tarfakari kisha chukua hatua mwenyeweeeeeeeeeeeeee against huyu MFALME.