![]() |
Kama sio Tanzania vile lakini hiyo ndio hali halisi |
![]() |
Ambulance zilipiga trip kwa sana |
![]() |
Ni kuchapa mbio tu usiku wa jana hali ni tete sana |
![]() |
Majeruhi akipata huduma ya kwamza |
![]() |
Daktari wa Hospitali ya amana akiwa amembeba mtoto aliyepoteza wazazi wake |
![]() |
Askari akisaidia majeruhi wa mabomu ya Gongo la mboto |
![]() |
Meya wa jiji la Dar es Salaam Jerry Silaa akiwa katika tukio hilo jana usiku |