![]() |
Willow Smith akiwa makini kufuatilia utengenezaji wa Kideo chake kipya. |
Nyota huyo mtoto amekamilisha kideo hicho kilichorekodiwa sehemu kubwa jangwani hukohuko kwao ameamua kukiita kideo hicho '21 century Girl' akiwa na maana msichana wa karne ya 21 ameonyesha uwezo mkubwa sana kiasi cha kuwashangaza waandaji wa kideo hicho jinsi 21 century girl huyo alivyo na kipaji cha ajabu.
Nyota kibao wa US MUSICIAN ALL STARS wanatarajia kuperform kwenye uzinduzi wa kideo hicho unaotarajia kufanyika siku ya jumamosi wakiwemo Jay Z ma mkewe Beyonce, R,kelly, Dead Money, 50cent, Rick ross, Nick minaj, Alicia keys, Justin bieber na wengine kibao
![]() |
Umemuona 21thcentury Girl 'Willow Smith' alivyo serious na kazi? |