Mtambo mpya wa mabao jangwani 'Davis Mwape' |
Mabao hayo ya mwape yanakuja siku mbili tu baada ya kufunga mabao mengine matatu dhidi ya AFC ya Arusha katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya ligi siku ya ijumaa ya wiki iliyopita ambapo yanga ilishinda mabao 6-1
Mpaka sasa Mwape ana jumla ya mabao matano katika mechi mbili alizocheza hali anayomfanya kumuweka katika kiwango bora zaidi cha kufanya vizuri katika ligi kuu inayoendelea na kuwaweka matumbo joto waliomtamngulia katika ufungaji.