![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKyxZ0DWiSujfr2vQXMhJom_5SLWj2HUysRLp60ExRdk4Rlbpc-1OZbRtahrPGHPfyqBybqIdcXpJVcbUTYMUzepqGOdgCfYEmPa7dgrwi4YdpdGfXkJBcBLxefRp9v6CCoLb2-Rf0gheT/s400/yanga.jpg) |
KIKOSI CHA WANAJANGWANI 'YANGA' |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgPprSsdEhDT2MuwJz9-AXBA1afNoVAPZa6CKVNpwlsevaiNIpBNwrSswhDa0SRO-eIJIsZmC5WB8zan29OI2_Cs7pgdlydTULJ0vOOgWLuHjSOGnyeT5PgFZeE1S2NlkwHKKlOQ2v_yxR/s400/simba.jpg) |
KIKOSI CHA SIMBA |
Mabingwa wa soka Tanzania timu ya soka ya simba ya Dar es Salaam Pamoja na watani wao Yanga leo wanatarajiwa kutupa tena karata zao katika michezo ya ligi kuu soka Tanzania bara ambapo Simba itawakabili Polisi Tanzania katika dimba la Jamhuri mjini Dodoma huku Yanga wakisafili kuwakabili wanalizombe 'majimaji ya Songea
Katika michezo yao ya mwisho Simba iliirarua African Lyon 3-0 huku yanga ikikubali kichapo cha bao 1-0 toka kwa wakata miwa mtibwa
KILA LA HERI SIMBA NA YANGA