Nadhani wengi tunajua kuwa Lil wayne kaanza kurecord album yake mpya ambayo itaitwa “Tha Carter IV” single ya kwanza ya album hiyo inaitwa 6 foot 7 foot ambayo tayari inafanya vizuri kwenye charts na video yake imeanza kufanyika.. Lil wayne amesema kuwa itakuwa video moja tofauti sana na video zake zote, itakubidi uiangalie vizuri na pia ufikirie sana ili upate message yake