Wednesday, January 19, 2011

WATOTO WA JANGWANI WALALA 3-2 KWA ATLETICO


Mshambuliaji wa yanga Nsa Job akichuana na beki wa Atletico ya Brazil Gabriel Lima de Oliveira katika mpambano wao wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika jana katika dimba la taifa na yanga kulala 3-2