Akizungumza kwa furaha na waandishi wa habari jijini liverpool mume wa mwanamuziki huyo mcheza soka David Beckham alisema anajisikia fahari kubwa kuona familia yake inazidi kuwa kubwa.
Tayari Beckham na posh wamefanikiwa kupata watoto watatu ambao ni Blooklyn,Romeo na Cruz na endapo huyu mpya atakuja basi atakua ni wa nne kwenye familia yao. kila la heri Posh endelea kuijaza dunia.
![]() |
Beckham akiwa na familia yake |